Tuesday, 1 January 2013

Msanii sajuki Afariki Dunia

Kwa taarifa zilizopatikana kutoka kwenye vyombo mbalimbali vya habari, zinasema kuwa msanii aliyekuwa akiugua kwa muda mrefu, mwigizaji mahiri Bongo, Juma Kilowoko ‘Sajuki’ amefariki dunia leo katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili. Marehemu Sajuki alikuwa amelazwa katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili baada ya kuwa amedondoka jiji Arusha mwishoni mwa mwaka uliopita.      Innalillah wainaillaih rajiun ...
Read More

Kesi ya Lulu yatinga Mahakama Kuu

Msanii wa filamu Tanzania, Elizabeth Michael (Lulu) Kesi  ya kuua bila kukusudia inayomkabili msanii Elizabert Michael maarufu kama Lulu, (pichani) imesajiliwa kwa namba 125/2012 katika Mahakama Kuu, Tanzania. Kwa mujibu wa chanzo cha habari ndani ya mahakama hiyo, kesi hiyo kwa sasa inasubiri kupangiwa kwa hakimu kwa ajili ya kuanza kusikilizwa. Aidha,chanzo hicho kimeeleza kuwa, hati ya dhamana dhidi ya mshtakiwa huyo tayari imewasilishwa mahakamani hapo. Wiki iliyopita, katika mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu mbele ya Hakimu Mkazi wa Mahakama, Agustina Mmbando, ilielezwa kuwa mashahidi upande wa mashitaka watakuwa tisa. Mashahidi ni pamoja na aliyekuwa daktari wa marehemu,...
Read More

Zanzibar exports increase in 2012

   Bank of Tanzania Zanzibar’s exports of goods and services during the year ending October 2012 increased to USD 159.9m from USD 155.1m recorded in corresponding period last year, the Bank of Tanzania has said in its monthly economic review for November. Clove exports rose from 1,500 tonnes in the year ending October 2011 to 3,500 tonnes during the year under review. However total value of imports of goods and services during the year ending October, this year also rose to USD 313.4m, from USD 219.1m recorded during the corresponding period in 2011, mainly due to a rise in the value of capital goods for infrastructure development, specifically importation of the new...
Read More

JK (Presedent of Tanzania): Population growth too high

 44.929 million now; to hit 51 million in 4 years  President Jakaya Kikwete presses computer key to launch 2012 Population and Housing Census results at Mnazi Mmoja grounds in Dar es Salaam yesterday. The figure displayed on the computer screen shows that Tanzania's population is now 44,929,002. Looking on are Vice President Dr Mohamed Gharib Bilal and Prime Minister Mizengo Pinda. President Jakaya Kikwete yesterday released preliminary results of this year’s National Population and Housing Census showing that in ten years the country’s population has grown to 44,929,002 from 34.4 million people in 2002. Of these 43,625,434 people were counted on Tanzania...
Read More