Tuesday 1 January 2013

Msanii sajuki Afariki Dunia



Kwa taarifa zilizopatikana kutoka kwenye vyombo mbalimbali vya habari, zinasema kuwa msanii aliyekuwa akiugua kwa muda mrefu, mwigizaji mahiri Bongo, Juma Kilowoko ‘Sajuki’ amefariki dunia leo katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili. Marehemu Sajuki alikuwa amelazwa katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili baada ya kuwa amedondoka jiji Arusha mwishoni mwa mwaka uliopita. 

 

 

Innalillah wainaillaih rajiun

0 comments:

Post a Comment