Thursday, 3 January 2013

MSANII SAJUKI KUZIKWA IJUMAA KATIKA MAKABURI YA KISUTU JIJINI DAR


 Wasanii wakiwa wamejitokeza katika msiba wa mwenzao.
 Watu waliojitokeza msibani huku wengine wakiwa wamekaa kwenye mitalo ya maji.
Watu wakiwa msibani huku wakijadili mambo mbali mbali. Msiba wa Marehemu Juma Kilowoko 'Sajuki' umewagusa wengi na kuleta simanzi. Marehemu Juma Kilowoko anatarajiwa kuzikwa ijumaa saa 5 katika makaburi ya Kisutu jijini Dar es Salaam.

0 comments:

Post a Comment