Baada ya Kim Kardashian kuitembelea Afrika kule Ivory Cost, Kanye West
ambaye ni mpenzi wake na baba wa mtoto mtarajiwa ameamua kumnunulia
bangiri za kuvaa mkononi zenye thamani ya dola 100,000.
Kim mwenye umri wa miaka 32 kwa sasa, ameanza kuonyesha ujauzito wake alionao kwa nguo anazotupia, tazama picha hiyo hapao chini.
Kim mwenye umri wa miaka 32 kwa sasa, ameanza kuonyesha ujauzito wake alionao kwa nguo anazotupia, tazama picha hiyo hapao chini.
0 comments:
Post a Comment