Thursday, 3 January 2013

MSANII SAJUKI KUZIKWA IJUMAA KATIKA MAKABURI YA KISUTU JIJINI DAR


 Wasanii wakiwa wamejitokeza katika msiba wa mwenzao.
 Watu waliojitokeza msibani huku wengine wakiwa wamekaa kwenye mitalo ya maji.
Watu wakiwa msibani huku wakijadili mambo mbali mbali. Msiba wa Marehemu Juma Kilowoko 'Sajuki' umewagusa wengi na kuleta simanzi. Marehemu Juma Kilowoko anatarajiwa kuzikwa ijumaa saa 5 katika makaburi ya Kisutu jijini Dar es Salaam.

List of Bollywood films of 2013 (Movie mpya 2013)

Wale wadau wa Movie za malovedav/Kihindi na zinginezo kwa mwaka 2013 hizi hapa ndo movie za ukweli kabisa. So jiachie mwaka huu na movie mpyaaaa..

List of Bollywood films 2013






 Murder 3


  
Race 2



 Once Upon a Time in Mumbai 2