Wasanii wakiwa wamejitokeza katika msiba wa mwenzao.
Watu waliojitokeza msibani huku wengine wakiwa wamekaa kwenye mitalo ya maji.
Watu wakiwa msibani huku wakijadili
mambo mbali mbali. Msiba wa Marehemu Juma Kilowoko 'Sajuki' umewagusa
wengi na kuleta simanzi. Marehemu Juma Kilowoko anatarajiwa kuzikwa
ijumaa saa 5 katika makaburi ya Kisutu jijini Dar es Salaam.
No comments:
Post a Comment